- Je, wataka kununua mashine yakuangua mayai yaani Incubator mashine?
- Tuko na suluhisho la kipekee:
- Ni kiasi gani cha umeme kinachohitaji kuangua vifaranga?
- Ni mafuta kiasi gani unahitaji ili kutumia jenereta idumishe hii mashine ya kuangua mayai?
- Kiasi gani cha jitihada unachohitajika kuangua vifaranga ukitumia mafuta na stima?
- Sahau zile mashine ambazo zimetengenezwa na bao au chuma nje, zinatumia umeme mingi kwa hivyo kuongeza gharama kwako.
- Mashine hii yetu yakipekee yakijani kibichi itakufanya uhifadhi mazingira na pesa zako .
Hii ndio mashine ya kuangua vifaranga ya kipekee Kwa mara ya kwanza imegunduliwa na utaipata kwa bei rahisi.





standard